Tuesday, April 1, 2014
Usafiri watatizwa maeneo mengi Mombasa picha hizo ni mojawapo watu waki tapakaa kila shehemu hata wengine kuamua usafiri wa malori angalao wafike kazini, picha hizi ni eneo la mazeras -kwenda mji wa mombasa., kuna tetesi kutoka kwa wenye matatu kwamba vitibithi mwendo zinazo hitajika hazipatikani mjini mombasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment